Yajue mataifa yanayopinga uwepo wa Mungu

Tatizo lako unajua dini ni ukrisitu na uisilamu hayo mataifa yote yana dini zake memyewe sio za kuletewa na mitumbwi kama ya kwako wewe
 
Bongo bila ndumba mbona wanasiasa watakufa njaa
 
Haswa nakuunga mkono!!! Kuna watu wanaacha kumuabudu Mungu wanaabudu dini na kujikuta njiapanda
 
Tatizo lako unajua dini ni ukrisitu na uisilamu hayo mataifa yote yana dini zake memyewe sio za kuletewa na mitumbwi kama ya kwako wewe
Nakubaliana naww na pia tukumbishane dini sio Mungu!!!
 
Bongo bila ndumba mbona wanasiasa watakufa njaa
Hahahhahhaha!!! Km wapo wanasiasa wanaofanya hivyo ujue kabisa misingi ya imani zao zipo huko na sio kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…