MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
Kila bara lina mbabe wake ktk kuongoza kwa nguvu za kijeshi. kwa Afrika Mashariki na kati ni Tanzania ila kwa bara zima la Afrika mwongozo uko hivi:
1. Afrika Kusini inaongoza kwa nguvu kwa sasa. inatumia ndege za kisasa hasa kutoka Marekani, Ufaransa na Uingereza. lakini cha pekee kwa hawa jamaa ni kwamba teknolojia yao wenyewe ipo juu sana kiasi cha kutengeneza ndege vita zao wenyewe yaani 'fighters' na hata helcopters. wanasifika kwa kutengeneza mizinga na makombora imara sana. jeshi lao ni la kisasa na wako vizuri sana ktk sekta zote: angani, majini na ardhini.
2. Misri inafuata hapo. ni wa pili kwa nguvu barani Afrika japo kwa idadi ya askari wanaongoza wanao wajeda kama 300,00/- hivi. wana uzoefu mzuri wa kivita kwani wamepata kupigana vita nyingi ngumu hasa na Israel mf. Six day war na nyingine. wanamiliki ndegevita hatari sana ziitwazo AF 16. hizi wanapewa na Wamarekana kama sehemu ya mkataba wa amani wa Mashariki ya kati.
3. Nigeria inafuata. wako nyuma sana ukilinganisha hao wawili wa juu. hii inatokana na sera mbovu za taifa na rushwa kubwa iliyokithiri. kwani hawana ndege na meli nyingi za kisasa na uchumi wao ni mzuri. wana uzoefu mzuri ktk vita kwani wamekuwa wakiongoza mapambano mengi ktk ukanda wa Afrika Magharibi unaoongoza kwa mapinduzi Afrika. wanaongoza majeshi ya kanda ya ECOMOG. jeshi lao ndio walimu wa jeshi la Rwanda