Yajue mambo 10 yanayofanywa na wanaume lakini huwakera sana wanawake wengi

 
Mm tatizo ni kukoroma usiku, nani anajua dawa ya kutibu hii?
 
Wanawake PIA hukerwa na mwanaume ambaye

1. sehemu zake za siri kazigeuza mali ya umma, kila shimo zinaingia
2. Mbahili asiyetoa hela....
2. Asiyejali hisia
4. Asiokuheshimu wewe na watu wa nyumbani kwako!!
 
Hii tabia ya hovyo yakuamini kila kinachosemwa ama na BBC au utasikia tafiti za Chuo cha Marekani nao ni ujinga mpya wa kizazi cha hawa vijana wa hovyo
 
Kwamba nisiangalie game hio ngum sana,mfano et Belgium vs France uiache hivi hivi kisa kumfurahisha mtu
 
Uko vizuri sana sana

Ukweli mtupu
 
Kuna jamaa alisema yeye anatumia akili ili kutafuta maisha sio kwa ajili ya kuitumia kwenye kuishi na mtu mzima mwenye mavvuzi hd mattakon!!hahaha ni matumizi mabaya ya akili
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kutumia simu ukiwa ndani, af asione unachofanya kwenye io cm
Hii inamuuma mke wangu,hatari. Sio kutumia tu ndani. Yaani wanatamani chochote unachokifanya kwenye simu wapewe uwezo wa kuvijua
 
HIyo ya utatu ni ubinafsi tuu....sasa mwanamke mzuri amepita nisimuangalie kwani mzuri upo peke yako.
Nilishakuweka wewe kama wangu presha ya nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…