Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,046 Oct 29, 2018 #1 Huyu hapa
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,948 Oct 29, 2018 #2 Mpka napata uvivu wa ku type nikiiiona hii sura... Mwache JPM afanye kazi Zake.... Huyu atulie tu...
Prince az JF-Expert Member Joined Sep 27, 2018 Posts 1,222 Reaction score 1,570 Oct 29, 2018 #3 Naona mnarudisha mpira kwa kipa sio
kinundu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 2,028 Reaction score 2,169 Oct 29, 2018 #4 Apewe nchi tumechoka na hawa washamba wasukuma wakafuge ng'ombe... Maswala ya vyama vya wakulima sijui minada yamepitwa na wakati tuingie sokoni wote tukashindane huko.... Nchi wapewe tu wajanja
Apewe nchi tumechoka na hawa washamba wasukuma wakafuge ng'ombe... Maswala ya vyama vya wakulima sijui minada yamepitwa na wakati tuingie sokoni wote tukashindane huko.... Nchi wapewe tu wajanja
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,681 Reaction score 3,067 Oct 29, 2018 #5 Prince az said: Naona mnarudisha mpira kwa kipa sio Click to expand... eti hepebesidei !!! natamani wengine wasingezaliwa.!
Prince az said: Naona mnarudisha mpira kwa kipa sio Click to expand... eti hepebesidei !!! natamani wengine wasingezaliwa.!
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,048 Reaction score 34,475 Oct 29, 2018 #6 moyafricatz said: Mpka napata uvivu wa ku type nikiiiona hii sura... Mwache JPM afanye kazi Zake.... Huyu atulie tu... Click to expand... Sasa hii picha inamzuia vipi mkuu kufanya kazi yake?!
moyafricatz said: Mpka napata uvivu wa ku type nikiiiona hii sura... Mwache JPM afanye kazi Zake.... Huyu atulie tu... Click to expand... Sasa hii picha inamzuia vipi mkuu kufanya kazi yake?!
NGERESHAA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 1,308 Reaction score 1,815 Oct 29, 2018 #7 Siamini ni hivi hivi,mbona kila sehemu Membe kuna nini? tuwekane wazi