Yajayo mwaka 2050

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,525
Reaction score
2,895
Wakuu nimepata maono wa mambo yanayokuja siku za mbeleni kuhusu AI, Hivyo hapa nafanya kama kuwatonya tu ndugu zangu msije angamia siku ikifika.

Kuanzia mwaka 2040 zitaanza movement za AI kuwa recognized legally as person, kama tu kampuni inavyoweza simama kama mtu. Kutakuwa na upinzani lakini baada ya muda hili jambo litapita.

AI akishapewa hiyo hadhi basi nae ataanza kushitaki watu kutokana na charting history, ana ushahidi wote wa maongezi, na watu jinsi tunavyofunguka yaliyo ndani mwetu hatutaweza jitetea. AI kipindi hichi anaongoza kutoa ushauri na ni rahisi kufunguka siri kwa AI kuliko kwa binadamu mwenzio.

You Bella Watch your Charting.
 
Piga picha huyu eti ni mke wako!
Your browser is not able to display this video.
 
ok.πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…