bongo bila kumpa dj pesa hachezi ngoma yako, na pia presenter anahitaji chake ili ngoma yako aiongelee, akusifie kidogo kwenye kipindi chake,.. how much can that be? x 10 radio stations.. interview ni za kununua, etc.
kuna mshikaji wangu kila ngoma ilipokua inapigwa, dj anampandia hewani kudai bia, na vitu vingine kama hivyo..