youngd diCaprio Member Joined Jul 21, 2014 Posts 37 Reaction score 2 Oct 7, 2015 #1 Wakuu naomba kujuzwa juu ya hyo faculty tajwa hpo juu kuhusu ajira zake na usomaji wake
W WAKU-GOOGLE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 950 Reaction score 630 Oct 7, 2015 #2 watu wa forestry wanahitajika sana kwenye halmashauri na wakala mbalimbali za serikali lakini huwa ajira zinatolewa chache sana sijui kwa nini labda serikali ya awamu ijayo itazingatia umuhimu wa ma-foresters.
watu wa forestry wanahitajika sana kwenye halmashauri na wakala mbalimbali za serikali lakini huwa ajira zinatolewa chache sana sijui kwa nini labda serikali ya awamu ijayo itazingatia umuhimu wa ma-foresters.
youngd diCaprio Member Joined Jul 21, 2014 Posts 37 Reaction score 2 Oct 7, 2015 Thread starter #3 sante mkuu kwa majibu yko mazurii