Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Apr 24, 2016 #1 Wadau ningependa kufahamu kuhusu hizi line za tigo za 4g,je!ukiweka kwenye simu ambayo haina 4g inaweza kushika 3g na kama inashika speed inautofauti na line ya kawaida!
Wadau ningependa kufahamu kuhusu hizi line za tigo za 4g,je!ukiweka kwenye simu ambayo haina 4g inaweza kushika 3g na kama inashika speed inautofauti na line ya kawaida!
baracuda JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 1,266 Reaction score 1,357 Apr 24, 2016 #2 Inakuwa kawaida..haina tofauti..