Eng. Y. Bihagaze JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,487 Reaction score 914 Aug 9, 2012 #1 Nani ajuaye 1. Tafsiri halisi 2. Chimbuko 3. Maana ya awali Ya maneno haya mawili YAHOO Na Kariakoo.. Mengi yanasemwa juu ya asili zake Basi Kama kuna mdau atujuze.. Kama hujui piga chini ..
Nani ajuaye 1. Tafsiri halisi 2. Chimbuko 3. Maana ya awali Ya maneno haya mawili YAHOO Na Kariakoo.. Mengi yanasemwa juu ya asili zake Basi Kama kuna mdau atujuze.. Kama hujui piga chini ..