Yah kupotelewa na mke.


sina la kusema mie nawaangalia kama siwajui vileeee teh....teh!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
daah pole sana mkuu hii ndiyo taabu ya kumiliki hawa serengeti boy,wao wanaangaliaga wallet tu,siku ikiyumba hukuti mtu.embu jaribu kumtafuta tajiri wa cc Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
S
We we we we.... kumbe ndo zako!?? Wewe si uliniletea habari kuwa Loya amekutupa hivyo unaenda kwa Excel..!?? Na Lady doctor akaweka saini.!??
duuuh!mwenyekiti huna siri wewe,ila sheria ya mahusiano cc si inaruhusu mke kua na saccos au vikoba chapa watu?au kipengele kishaondolewa?
 
Last edited by a moderator:
honey usipanic bana,tumshirikishe dady na mamy
 
Last edited by a moderator:
mi nimeshamsamehe pacha ndo maana namueleza ukweli shem hana swaga na hajui kutunza mke...... Kuna usemi usemao kuwa anaekueleza ukweli anakupenda, mie nampenda shemeji yangu ndio maana namuambia ukweli
kweli wampenda shemejio kwa styll ya kivietnam zaidi hahaaaaaa!
 
So far nini kauli yako loya ?
Au ndiyo Mwenda tezi na omo marejeo kwenye merikebu ?
Yani unavyokazia,unadhani nitaachwa thubutuuuu yako,shemeji unashadadia ka nn,na kwangu nisikuone na hivi umeskia kuna ming'oko najua utajileta tu
 
Last edited by a moderator:
Asante swt hat kwa kuonyesha msimamo wako,ila huyu nduguyo jajiment mpambe huyu,na kwetu asikanyage

Nikanyage kutafuta nini ? Wakati unamuumbua ndg yangu katikati ya soko saa 6 mchana!
Ningekua niko Tanzania ningempatia kitu kipya hata leo .
Karibu Pretoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…