Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Huyu demu a lite shirk kishka na Rayvanny kwenye wimbo Wa Zezeta ni mshambamshamba kiasi kwamba ameshindwa kuuvaa uhusika na hivyo kusababisha wimbo mzima kuonekana Wa ovyo kabisa.
Kama kuna uwezekano huyu jamaa angerudia hii video lakini kwa hii ya sasa atapata wafuasi km kiduchu sana. Bila shaka ujumbe umefika
Nawasilisha
Kama kuna uwezekano huyu jamaa angerudia hii video lakini kwa hii ya sasa atapata wafuasi km kiduchu sana. Bila shaka ujumbe umefika
Nawasilisha