We Ruhazwe JR mwenye pesa hanaga limbwata...wanakuja wao nifanyaje na kifanyio kiko fit?simpaki matope Mtu yoyote yule nasema hivi,,,,, Erickb52 anaitaji kusaidiwa huku si kuzuri
Nimedhibitisha kwa picha emu na wewe tudhibitishie maneno yako
Speedy wanionea ujue!!!!!!!!!! Nimemfagia nani? Usiwe na wasiwasi mimi NIMESTAAFU nimejiunga SOVIET UNION!!!!!!!! Hapo nilikuwa natoa tu TRIBUTE ZANGU!!!!! Old habits die hard mjue!!!!!!!!
Speedy unaona huyu Lundenga anavyoleta majungu?
Dah napenda kuthibitisha taarifa hii ya Judgement na Kukanusha vikali taarifa ya Ruhazwe JR kuwa ni wivu tu kuona naenjoy life.
Heheheheheeeee mlete akiwa mzimawewe usiwe na wasi niko hapa pande za kwake huku magomeni na kitu cha kova tu, akitoka tu niko nae. Et bosi nikuletee akiwa mzima, robo na nusu, nusu au robo mtu? Halaf Usinisahau kwenye kamgao ketu
Mzima wewe!!!!!!!!!! Wazima wazee wa kijenge, sanawari, ngarenaro, njiro, United States of Arusha, Kikatiti, Maji ya Chai, Unga ltd, Tengeru, Ngurudoto, Haileselasi, Moshono!!!!!!!!!!!!!! Mimi iko jua Arusha kidogo, Joh Makin anatusaidia kujua mitaa atiii!!!!!!!!
shost umesahau mianzini, ngaramtoni na olmotonyi!
Wallah Ruhazwe JR usije ukatia timu Arachuga wewe! Unajaribu kumdhalalisha milionea wetu? UMEKOSA MAADILI NA ngoja niishie hapa lakini hiyo mvua inayonyesha hapo ulipo isikuache salama gaddemit kudadadeki.
Hahahaaaaaa kigandaMugole wange Kipipi janguu!
Aba'mussaja bakwiita !
Sorry nimejimix nikadhani niko Kansanga (Ug)
Kipipiii uli'halee ? Uliitamwa na ngosha wanee !
Hahaaahahaaaaaa aiseeee
vp mbona unacheka? me mesomea huko 2 months thn nkapigwa suspension mwanangu!
Heheheheheeeee mlete akiwa mzima
Kama ni ndege erick ni cessna bishanga ni boeing 747, nani agombee dem na sakapoko ka erickb52 amae kula yake mpaka abebe zege saiti,kha!Si unaona CL dogo wangu anavyowangiwa?
Sijui nimshauri na yeye akazisunde Uswizi !
Maanake kuziwekeza kwake hapa injini (nchini) imekua zahma!
Unadhani mamtu ka'kina Bishanga ambao wako juu ya mawe !
Watakua na lipi la ziada kwa dogo kama si jungu ?
Afu yawezekana Ruhazwe katumwa na Bishanga kuanzisha ile Sredi.
Kama ni ndege erick ni cessna bishanga ni boeing 747, nani agombee dem na sakapoko ka erickb52 amae kula yake mpaka abebe zege saiti,kha!
Halafu we judgement nshakushtukia nasikia bungeni we ndo sergent of arms kila kitu mpaka thpika aamue upewe.