Kweli mkuu, maana mimi niko kitengo maalumu mwaka wa nne sasa!Mkuu unajua kwamba wengi huku ni Wakuu wa vitengo Kwahiyo hatuwezi kuacha kutumia na ni moja ya mambo yanayo vutia na kufurahisha humu jukwaani.
Kwani mkuu unataka tuitane vipi?Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.
Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.
Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.
Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
Hapa ndani kuna majukwaa mengi mkuu, na hilo linalo kukwaza kuwa utukufu wa Mungu juu kwa mbingu, linahusika kwenye jukwaa la dini.Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.
Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.
Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.
Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
Tuitane wakuuPendekeza jina lingine basi...
Mwalimu mkuu ndiye aliyeumba ulimwengu, mbona kuna wenye vyeo hivyo huku duniani.Salam,nimejiunga jf miez kadhaa iliyopita,humu kuna watu wazima wenye heshima zao,wasomi na kila aina za level za watu iwe ni umri,elim na hali ya kiuchumi.
Mlipokaa na kuamua kuitana jina ( mkuu) sikuwepo nimelikuta.
Nimekaa nikatafakari kwa akili zangu hiz nilizopewa nikaona kuitana "mkuu" tunajikweza sana kwani mkuu ni mmoja aliye juu,hivyobasi.
Mnaonaje tubadilishe jina la kuitana ili tuuache ukuu kwa aliyeuumba ulimwengu?
Ndio shida ya wabongo. They brind problems without solutions.Pendekeza jina lingine basi...