Yagundulika: Walevi huwa ni watu wenye akili nyingi kuliko wasiopenda pombe

Hii iliwekwa American Journal of Public Health.ya 2008 mimi nmepata hard copy ndo nikai google.
 
inawezekana lkn hyo pombe isizidi yaani ukilewa sana unafanya maamuzi ya hovyo kuliko ambaye hanywi kabisaa.
 
nina wiki 1 tu nimetoka kuacha kunywa na washikaji walifikiri utani lakini kwasasa situmii tena maana mimi nikinywa tu hata bia 3 napata hang over siku 2 wakati zamani nilikuwa nakunywa hadi konyagi, valuer.nadhani kwasasa hazinipendi....endeleeeni wadau.

Hapo ndugu ni mwaswala ya umri,kadri umri unavyozidi kuwa mkubwa ndio jinsi unavyoweza kulewa haraka,kwahiyo unaweza kupunguza kutoka 3 kwenda 2 na ukiona mbili pia zinashida shuka mpaka ibakie moja na ikikataa na hiyo ndo uache kabisa,siunajua ma-feeling yake inavyokuwa kichwani!
 
hii ni kweli kabisa. Ulevi unaongeza IQ. Ndio maana mlevi hufanya maamuzi ya ajabu na ya hatari kuliko chizi, IQ inapitiliza sana.
 
Tafakari nukuu hii kwa kina:
"higher intelligent scores at age 10 may be assocaited with higher level of alcohol intake and alcohol drinking problems during the adulthood"

"for every 15-point increase in childhood mental ability score, the likelyhood of drinking problems increased 1.38 times for women and 1.17 for men"

"these unexpected findings, and the lack of other reseach in this area, indicate the need for further examination of the relationship between childhood IQ and the adulthood drinking pattern"
NILIVYOELEWA: watoto wenye akili wakiwa na miaka 10, hususani wa kike, huwa walevi au huathiriwa na matatizo ya ulevi wakiwa na umri wa miaka 30.
 
Back
Top Bottom