Ivi yafaa kuweka cctv camera zilizo camouflaged chooni katika public toilet ili kubaini watumiaji wa huduma hii vibaya na kuhifadhi taarifa zao bila kuvujisha. Ili kuwawekea ushahidi mtu anayepinga kutumia choo vibaya.
FANYA UKAGUZI WA MARA KWA MARA
=> WEKA MAJI YA KUTOSHA kama umeweka maji kitoto ndoo tena nusu UNATEGEMEA NINI?
=> ELIMU KWA WATUMIAJI kuna hotel nyingne unaingia unaogopa kujisaidia, choo cha kisasa, maji huoni kumbe ni AUTOMATIC ushamba unakutoka