Yaani nisioe wanawake wa hivi kisa nitachapiwa?

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,661
Bora kipi, uoe mwanamke ambaye reception hailipi ukiamini hutachapiwa? Ambaye kiukweli atachapwa ila imani yako itakutuma hachapwi kwasababu havutii? Huyo unayemwona havutii huenda kuna watu wamelia kwa kupiga magoti lakini hawajamptata, na kuna wengine wanamwinda kama swala.

Au kuoa mwanamke mrembo na hata akichapwa, potelea mbali, k haimeguki wala haiishi!Wanawake wa aina hii ya picha naoa, liwalo na liwe, hata akichapwa simwachi ila nikimgundua aliyemchapa atakuwa wanted for life.
Mke.jpg
Mke-2.jpg
Mke.jpg
Mke-2.jpg
 
hahah nan kakwambia utachapiwa??? Mbona kujhami mapema!! ila km ulikuw unachpa wa wenzio huna budi kuchapiwa na wewe.

Hiyo principle ya kuchapiwa kwa sababu umechapa sio ya kweli bwana! Ni kama methali ya aliye juu, mngoje chini, wengine hawajawahi kurudi!
 
Kama huna pesa utachapiwa tu hata kama hiyo reception hailipi.
 
kuna mambo au majukumu yakikushinda hata awe na uso kama ngozi ya goti utachapiwa tu ndg yangu

Na Mungu alivyo na maajabu, unaweza kuwa umetulia, unamcha sana Mungu, lakini balaa lake mke anakusumbua, na kuchapwa kama kawaida, then unajiuliza, hivi Mungu hanioni?
 
Kwanin umeandika huu Uzi/thread?lengo lako aswa nini?unaogopa kuchapiwa?
 
Unaoa demu mkali kisha fasta unaenda kwa babu akutengenezee kinasio! Ukinasisha mmoja tu, mzigo unabaki kuwa wa kiuchoyo forever!
 
Unaoa demu mkali kisha fasta unaenda kwa babu akutengenezee kinasio! Ukinasisha mmoja tu, mzigo unabaki kuwa wa kiuchoyo forever!

Hiyo kuna jamaa yangu aliifanya, ila walivyonasuliwa, akampiga chini mke!
 
Kwanin umeandika huu Uzi/thread?lengo lako aswa nini?unaogopa kuchapiwa?

Bora nichapiwe mke mzuri kuliko kuchapiwa ambaye sijarizika naye! Anaweza angalau kujitetea natongozwa sana sweet, nisamehe, sasa kama havutii atajitetea nini!
 
Back
Top Bottom