Yaani
nilikupenda mpaka
nikajihamisha international school kukufuata shule ya kata bila wazazi
kujua.......
Yaani nilikupenda hadi nikatengeneza wheel cover yenye sura yako
nikaweka kwny gari la ofisini........
Yaani nilikupenda mpaka nikakwangua rangi gari ya dingi kwa msumari
nikaandika ILOVE U IVETA..........
Yaani nilikupenda mpaka wakaenda kuniombea kwa mzee wa upako.........
Yaani nilikupenda mpaka nikiona mtu anajina kama lako natongoza.....
Yaani nilikupenda mpaka......................................
ENDELEENI SASA NANYIE