KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,191
Wakuu hope mko pw ambao hawako pw Mungu awasaidie
Naandika uzi huu nikiwa maeneo flani Mwanza nimekutana na hii kero ukiwa mstaarabu bongo kazi kweli kweli
Leo nimempeleka dogo kuchekiwa masikio Azania primary school nilichokiona leo nimeamini wabongo ustaarabu ni mdogo sana imenibidi niweke ustaarabu wangu kando kwanza ili niende sawa na watu wasio wastaarabu ipo hivi
Nimefika eneo la matibabu saa 2 kasolo tumekuta watu washakuwa wengi ikabidi tuchukue siti nyuma na walikuwa wanaenda kwa mstali na watu wanaambiwa kabisa mstali unaenda hivi sasa kuna watu wamakuja saa 3 wanataka wapenye aje akae mbele yako nilichokifanya kila anaejichomeka namchomoa maana mstali hausogei wakati watu wanaudumiwa na kuelekezwa sehemu inayofuata chakushangaza wanaofanya huu utoto ni watu wazima kabisa akidabwa akarudishwa nyuma analalamika waTz tubadilike huu sio ujanja ni ujinga
Mwisho kabisa nimefurahi kumuona member mwenzangu wa jf alikiwa anasoma hadithi humuhumu jf japo sijajua ni hadithi gani tumepiga stori mbili tatu za matibabu mpaka sasa bado tupo eneo la matibabu,
Nawatakia mchana mwema wana jf wote.