Yaani hizi "X" zinakera!!!!aaaagh....

mara ya kwanza kutumiwa text msg yenye vifupisho bya kisasa ilinichukua muda kuelewa maana penye 's' panawekwa x, na mpaka leo sijaelewa wanapoweka 'q' huwa wanamaanisha herufi gani, huwa na guess tu
 
Mie nijuavyo ni kwa kuigiza mtu aliyeshiba bia, yaani anashindwa kutamka sasa yeye anatamka xaxa huku ana kwikwi na kucheua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…