Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Nanukuu; "Nilimshika mkono na kuondoka naye hadi nyumbani kwangu na njiani hakuna aliyemuuliza mwenzake wala kumwambia tunakwenda wapi na kufanya nini, kimya kimya hadi nyumbani na hadi leo ni mke wangu toka mwaka 1980" Anasema Ndugu Mafumu, mwanamziki wa dance hapa Tz, hiyo ilikuwa ni baada ya kuisha kwa disco katika ukumbi fulani hapa DSM.
Source; Mwananchi, Jumamosi 23 Nov. 2013, p. 28
Je ni wapi mahali ambapo utasema mke bora utakutana naye?
mademu wote niliowapata kirahisi[no disrespect] ndio nimekaa nao sana.......
^^
Hakuna kwa kweli..hata Jf unapata wake bora na wema wa kutosha.
Hainaga kanuni
NB:
Warning
Have sufficient credit in your wallet!
^^
Una maana unaweza pata mke bora hata katika kundi la machangudoa?
Una maana unaweza pata mke bora hata katika kundi la machangudoa?