Yaan Upinzani hamjazijua sarakasi zetu CCM kuwatoa kwenye consistency ya mambo yenu? mnamsahau Lissu sasa

Kwa hiyo hii mbinu itawasaidia ccm aka gambas kishinda uchaguzi bila kuiba kura na kupora ushindi kwa msaada wa tiss na police?
 
Lissu kwao sasa ni rubbish!
Sasa unataka Lissu aongelewe kila siku?Akili mmeweka wapi?
Kama makatibu wakuu wastaafu wa CCM mnawaona rubbish,wewe ni nani uliyeko CCM ambaye si takataka?Tena pengine ni mwanachama wa kawaida,utakuwa ni rubbish mara 20 zaidi ya Lissu!!!!
 
Nyie si mapumbavu! Na 2020 msije kulialia hapa kwamba mmeibiwa kura
 
awamu ya membe sidhani kama itakuwa ya roho mbaya kama ya awamu ya 5.
sidhani kama membe atakubali watu watekwe na kuuliwa. Bashite kuwa juu. Musiba kuwa juu n. K
Kwahiyo Membe akiingia Ikulu 2020 na Magufuli akatoka ndio ccm imetoka na kuingia upinzani?

Nyie ni vipofu
 
Back
Top Bottom