Yaan SITOISAHAU ASUBUHI hii

PHOTO

Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
60
Reaction score
11
Asubuhi umeamka unataka kwenda kazini , ukasema ngoja uongeze maji kwenye rejeta kwenye gari yako, ile kufungua tu boneti unamkuta katulia kama hivi ungefanyaje ????
 

Attachments

  • ASUBUHI AMEAMKA UNATAKA KWENDA KAZINI KWENYE GARI YAKO UNAMKUTA KATULIA KAMA HIVI UNGEFANYAJE.jpg
    106.5 KB · Views: 2,173
yesu wangu :shock: :shock: :shock:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nawasha gari naondoka, joto la injini litamuhusu.
 
Huyo nyoka anatafutwa sana huko Mbeya. jiji la Mbeya limekodi waganga na wacawi ili kumsaka nyoka huyo
 
Asubuhi umeamka unataka kwenda kazini , ukasema ngoja uongeze maji kwenye rejeta kwenye gari yako, ile kufungua tu boneti unamkuta katulia kama hivi ungefanyaje ????




Hiyo kitu haiwezi kutokea, kwa sababu kwa jinsi alivyojaa hapo huwezi kufungua bonet na kuliacha wazi namna hii, lazima utaachia lijifunge lenyewe. Hapo inaonyesha bonet lilifunguliwa na likaegeshwa vizuri tu.
 
Hii ndio inaitwa mdudu ndani ya kokwa la embe kaingiaje
 
Kwanza nyoka hawezi kuingia kwenye gari eneo hili maana lina harufu ya petrol na oil vitu ambavyo nyoka hataki kuvisikia, labda iwe ni sayansi ya Kitanzania, yaani nguvu za giza. Aidha, ikitokea ameingia nikimwona tu, nafunga haraka. Nawasha gari kuelekea kazini joti lake atatoka tu bila kupenda.
 
Kama boneti lilifungwa usiku je aliwezaje ingia hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…