YAAAANI kama NI kwELi

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
398
Reaction score
101
daaa jana bhana nilikuwa natizama kipindi cha TAGZ WEEKLY cha dtv sasa kulikuwa kuna tuhuma za yule mshikaji aliyekopi aidia ya ile ngoma ya platinum ya mbagala eti yakwamba jamaa anamfanyia k2 mbaya coz kuna siku alishawai kumwambia hatakuja kumsahau katika maisha yake yote en ryt now jamaa anaumwa sana na kwa taarifa ni kuwa eti ameenda kwa mganga na mganga kamchana laivu eti platinum ndiye anayehusika en jamaa akaapa laivu akifanyiwa intaviuu na kituo hicho kuwa ikitokea amefariki bhasi platinum atakuwa anahusika......duuuuuuuuuh
 
Ukiona hivyo ujue wanataka kutoa singo!
 
Ni vigumu kuamini ushirikina kama hutaki kuwa mshirikina!

 
tehe tehe tehe singo wapi
mkuu jamaa alikuwa siriasi jana yaaan huwezi amini mpaka ikafika tym
akawa analia

Hayo machozi pia ni yake kwa hiyo anaamua muda gani ayamimine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…