Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,041
- 1,294
Yaaa Ilahi
Mola wangu nibariki
Niongezee ridhiki
Unitoe kwenye dhiki
Si wa moja wala mbili
Kama vile pilipili
Naomba nipe kibali
Siitafuti huruma
Hata nikiwa kiguma
Ningali najisukuma
Na wala sitaogopa
Halafu sitaongopa
Nitayagawa makopa
Miye si mtu dhaifu
Baidi na isirafu
Sinao ubabaifu
Kupata ni majaliwa
Wala sijabaguliwa
Kesho nitainuliwa
Abuuabdillah

0744883353
Mola wangu nibariki
Niongezee ridhiki
Unitoe kwenye dhiki
Si wa moja wala mbili
Kama vile pilipili
Naomba nipe kibali
Siitafuti huruma
Hata nikiwa kiguma
Ningali najisukuma
Na wala sitaogopa
Halafu sitaongopa
Nitayagawa makopa
Miye si mtu dhaifu
Baidi na isirafu
Sinao ubabaifu
Kupata ni majaliwa
Wala sijabaguliwa
Kesho nitainuliwa
Abuuabdillah


0744883353