YA TUNDU LISSU NA SIRI-KALI

Jamaa hao wanausongo na huyo kwenye TV wanamtaka arudi haraka kwa nguvu ambapo siyo rahisi maana jamaa yuko mbali ng'ambo.wanabaki kupambana na picha tu.Hahahaaaa !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sumbuka tu, wenzio walimnyima matibabu tumemtibu

Sasa anawaanika, mtapasuka wauwaji wakubwa nyie.
Hakuna lolote huyo anajisumbua tu si kila mtu ni mjinga km unavyodhani. Ikiwa hiyo ndiyo akili yako basi wewe ni sawa na mfuga mbwa ambaye anategemea makombo ya jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…