Hoja ya j.makamba imemezwa, wajane wana nyanyasika, kigamboni imekufa nakuingia mdudu hatari wa siasa, magari yaliyotolewa na world bank kwamsaada wa kushuhulikia mambo ya ardhi ymeshindwa kulipiwa road insuarance, makadirio madogo ya badget yasio endana na utekelezaji pamoja na majukumu ya wizara. Sasa kunafaida gani kuwa nakiongozi asiye leta maendeleo ktk secta hata kama ni mnoko? Unoko tunao utaka niwakusimamia maendeleo endelevu, hatuna faida nakiongozi kamas Patric Rutabanzibwa anaye leta unoko uku secta ya ardhi ikididimia miradi ya maendeleo imekufa, miradi kama ya kigamboni,kurasini,makongo,arusha sakina,n.k yote imekufa..tunamkumbuka, JK tunaomba umhamishe huyu Rutabanzibwa anaimaliza secta ya Ardhi ambayo ndio secta mama ya maendeleo yoyote, shirika kama NHC lina endelea kwasababu haliko direct chini ya Rutabanzibwa, sina personal interest au chuki binafsi ila patrick rubanzibwa hatufai sisi wana nchi ktk secta ya ardhisana mama Balozi Salome Sijaona
Inaonekana Salome ni CDM ndani ya CCM. Na type ya kina Salome ni wengiWewe lazima utakuwa mmoja wa maafisa ardhi waliojilimbikizia viwanja enzi za huyo Mama uliyemtaja. Uzuri wa Patrick Rutabanzibwa waulize wananachi wa maeneo ya Kwembe. Kigamboni n akwingineko ambako watendaji mafisadi ndani ya wizara walikuwa tayari wamesahjipanga kuwapora ardhi yao. Miradi uliyoitaja haihafa isipokwa Patrick Rutabanzibwa kawauliza watendaji je mmezingatia sheria ipasavyo katika kutwaa ardhi husika toka mikononi mwa wananchi? ikwemo kifungu cha 3g cha asheria ya ardhi ya 1999 kinachotaka wananci ambao ardh yao inatwaliwa kulipwa fidia stahiki. Hivyo usitupotoshe anachofanya Patrick Rutabanzibwa ni kurejesha imani ya wananchi kwa CCM ambao ilipotezwa na miradi ya Bibi Salome Sijaona. Tazama kila mahali Bibi huyo alipopeleka miradi yake ya kifisadi kama vile Bunju, Goba nk katikaJimbo la Kawe na Luguruni. Kwembe na Mloganila katika Jimbo la Ubungo majimbo haya yaliangukia upinzania mwaka 2010 kutokana na dhuluma waliyofanyiwa wananchi kuporwa ardhi zao na watendaji waliokuwa chini ya Bibi Salome Sijaona ambaye alikuwa akiwalipa watendaji posho za kujikimu safarini watendaji wanaoenda kutwaa, kupima viwanja maeneo ya Bunju, Luguruni, Kwembe n.k .k hapa hapa mjini, na kisha wananchi kutakiwa kurejesha gharama hizi kupitia bei kubwa za viwanja vinavyouzwa na wizara ya ardhi kuanzaia Milioni 5 hado 30. Ni watanzania wangapi watamudu bei hizi za viwanja?
Wewe lazima utakuwa mmoja wa maafisa ardhi waliojilimbikizia viwanja enzi za huyo Mama uliyemtaja. Uzuri wa Patrick Rutabanzibwa waulize wananachi wa maeneo ya Kwembe. Kigamboni n akwingineko ambako watendaji mafisadi ndani ya wizara walikuwa tayari wamesahjipanga kuwapora ardhi yao. Miradi uliyoitaja haihafa isipokwa Patrick Rutabanzibwa kawauliza watendaji je mmezingatia sheria ipasavyo katika kutwaa ardhi husika toka mikononi mwa wananchi? ikwemo kifungu cha 3g cha asheria ya ardhi ya 1999 kinachotaka wananci ambao ardh yao inatwaliwa kulipwa fidia stahiki. Hivyo usitupotoshe anachofanya Patrick Rutabanzibwa ni kurejesha imani ya wananchi kwa CCM ambao ilipotezwa na miradi ya Bibi Salome Sijaona. Tazama kila mahali Bibi huyo alipopeleka miradi yake ya kifisadi kama vile Bunju, Goba nk katikaJimbo la Kawe na Luguruni. Kwembe na Mloganila katika Jimbo la Ubungo majimbo haya yaliangukia upinzania mwaka 2010 kutokana na dhuluma waliyofanyiwa wananchi kuporwa ardhi zao na watendaji walio
Rutabanzibwa ni jembe la ukweli,chuki binafsi zitawaua! Prof tibaijuka na rutabanzibwa juu! Mabwege mtakoma
Wewe lazima utakuwa mmoja wa maafisa ardhi waliojilimbikizia viwanja enzi za huyo Mama uliyemtaja. Uzuri wa Patrick Rutabanzibwa waulize wananachi wa maeneo ya Kwembe. Kigamboni n akwingineko ambako watendaji mafisadi ndani ya wizara walikuwa tayari wamesahjipanga kuwapora ardhi yao. Miradi uliyoitaja haihafa isipokwa Patrick Rutabanzibwa kawauliza watendaji je mmezingatia sheria ipasavyo katika kutwaa ardhi husika toka mikononi mwa wananchi? ikwemo kifungu cha 3g cha asheria ya ardhi ya 1999 kinachotaka wananci ambao ardh yao inatwaliwa kulipwa fidia stahiki. Hivyo usitupotoshe anachofanya Patrick Rutabanzibwa ni kurejesha imani ya wananchi kwa CCM ambao ilipotezwa na miradi ya Bibi Salome Sijaona. Tazama kila mahali Bibi huyo alipopeleka miradi yake ya kifisadi kama vile Bunju, Goba nk katikaJimbo la Kawe na Luguruni. Kwembe na Mloganila katika Jimbo la Ubungo majimbo haya yaliangukia upinzania mwaka 2010 kutokana na dhuluma waliyofanyiwa wananchi kuporwa ardhi zao na watendaji waliokuwa chini ya Bibi Salome Sijaona ambaye alikuwa akiwalipa watendaji posho za kujikimu safarini watendaji wanaoenda kutwaa, kupima viwanja maeneo ya Bunju, Luguruni, Kwembe n.k .k hapa hapa mjini, na kisha wananchi kutakiwa kurejesha gharama hizi kupitia bei kubwa za viwanja vinavyouzwa na wizara ya ardhi kuanzaia Milioni 5 hado 30. Ni watanzania wangapi watamudu bei hizi za viwanja?