Ya moyoni

khaa wewe sio vizuri hivyo jamani, sema neno roho zetu zisuuzike. umbea utatuua wenzio

Daah mi najaribu kufikiria hapa huyo mtu....au Kaizer (kumbuka hii inatamkwa kaiza) lol
 
Last edited by a moderator:
Heeeeeeee....!!!!! Yan nlivyoona kwa Ntuzu unaninyemelea nlipanga kukuachia nije hapa huku nako umeniwahi nafwa mimi.....

Kila napotia mguu upo na ww hebu gimme a break lol hupitwi hushuhudii
 
Last edited by a moderator:
Daah mi najaribu kufikiria hapa huyo mtu....au Kaizer (kumbuka hii inatamkwa kaiza) lol
Hahaha na me nilimuwaza Huyo but herufi ya Mwisho ikagoma, likaja lile jina la mr English wapiiii. Hapa Roho yangu kwatuuuuuuuuuuuuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…