Na wewe pia, ila nakuomba uweke wazi hiyo ID inayokupeleka roho mbio maana usiidhurumu nafsi yako.
Jamani mamaafacebook me hapa umbea tu umenikaba kooooh. Hiyo Id ni ya yule mr english ama?
Mmh umbea utaniua hahahhahahahaSidhan kama nd hyo jaman
Jamani mamaafacebook me hapa umbea tu umenikaba kooooh. Hiyo Id ni ya yule mr english ama?
Hahahahahaha wewe nawe ushaanza kujifunza umbea siku hizi eeh? mamaafacebook do the nidful puliziiii, Tupe kitu roho inapenda Jamani uwiiiiMimi nimeshindwa hata kucomment nlivyokabwa
Hahahahahaha wewe nawe ushaanza kujifunza umbea siku hizi eeh? mamaafacebook do the nidful puliziiii, Tupe kitu roho inapenda Jamani uwiiii
Hahahahahaha wewe nawe ushaanza kujifunza umbea siku hizi eeh? mamaafacebook do the nidful puliziiii, Tupe kitu roho inapenda Jamani uwiiii
Sio vizuri hivyo shosti, kwa nini tufe while tabibu wetu upo? Lisitupite hili Jamani puliziiiiiiMtakufa na vihoro na nyie lol heb mkubali yawapite
Ahhhha nampenda