MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 929
- 1,310
WAJARIBU KUFUFUA MAKABURI WALIOTUKOPESHA WATATAKA FEDHA ZAOMadeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.
Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.
Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.
Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.
Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Amfunge Mbowe ili akiwa anaenda nje azomewe[emoji16]Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.
Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.
Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.
Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.
Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Mtu asiyejua chochote ndio anaweza kuchukulia serious maamuzi ya mahakama zetu. Rostam aliweka wazi kuwa mahakama zinaweza kupigiwa simu na kupangiwa aina ya hukumu. Kwenye ile kesi ya Mbowe ndio nilizidharau mahakama zetu moja kwa moja. Ni kweli kesi ya Mbowe inaweza kufufuliwa lakini sio kwa ushahidi wa kesi ile, bali kwa kumkomoa Mbowe. Ni mahakama fulani za kishenzi mno.Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.
Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.
Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.
Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.
Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Ni kawaida kwa mwanaume hata Mandela alikaa ndani
Kama kuna mahali tuliteleza na kuhusu huyu mzee mbowe hakustahili kuwa huru hata kidogo
Siyo chuki mbowe anafaa kuwa incarcerated for a number of years. Si MUUNGWANA na ni mbaguzi anayetumia ulutheri wake kuwachukia Wazanzibar na waislamu.Punguza chuki binafsi.
Punguza wivu.
Sasa wewe unadhani upumbavu wa namna hiyo utaachwa uendelee Tanzania hadi lini?Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.
Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.
Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.
Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.
Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Wanatamani iwe hivyo.Mjinga wewe, kwani Mbowe anaishi kwa hisani ya Rais?
Lazima tupambane naoWanatamani iwe hivyo.
WaTanzania wote tuwe kama mali wanazozimiliki, watutumie watakavyo kwa manufaa yao.
Kwani Samia hajipendi?Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.
Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.
Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.
Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.
Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.
Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Kama kuna mahali tuliteleza na kuhusu huyu mzee mbowe hakustahili kuwa huru hata ki
Vipi anayekuteua anasema utafanya nitakavyo au laa?unafikiri jibu la mteuliwa,na huo ndio ugali waka yeye atasemaje?Bila shaka nitafanya utakavyo.Mtu asiyejua chochote ndio anaweza kuchukulia serious maamuzi ya mahakama zetu. Rostam aliweka wazi kuwa mahakama zinaweza kupigiwa simu na kupangiwa aina ya hukumu. Kwenye ile kesi ya Mbowe ndio nilizidharau mahakama zetu moja kwa moja. Ni kweli kesi ya Mbowe inaweza kufufuliwa lakini sio kwa ushahidi wa kesi ile, bali kwa kumkomoa Mbowe. Ni mahakama fulani za kishenzi mno.
Uliona Mbali balaaaMadeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.