Kwa nchi za kiafrika hamna kitu kama hicho. Rais hawezi kutumbuliwa. Kabla hujamtumbua atakuwa ameshawatumbua. Kuwa raisi Afrika ni raha sana maana unakuwa juu ya sheria na katiba. Ona Zimbabwe, DRC, Uganda, South Africa, Burundi, Uganda na nchi nyinginezo. Hakuna anayeweza kuwatumbua na hata sanduku la kura limeshidwa kuwatumbua.
Waafrica ndo maana ni maskini!!wanapenda giza kuliko nuru!!!hata wayahudi walipoletewa mkombozi ambaye aliyokufua ndugu zao walikufa walimwona mbaya kabisa na kumsulihisha msalabani!!walipenda Giza kuliko nuru!!I think Africans must be descents of old wayahudi!!
wamtumbueeee!! CAG kaonesha serikali inashindwa kusimamia kodi zetu!
Akumbushie na zileeee nyumba!! Mtu anahejua uchumi Kama prof. Assad ndoawe prezidaa bhana.
Naamini kilakada ikohoi...wafanyakazi,wakulima,wanavyuo,wafanyabiashara,waandishi,watangazaji,wanamziki,wabunge,wanamichezo... Pengine wanaoenjoy nchi ni yeye,tiss na bashte
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.