ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 951 Apr 26, 2012 #1 Twakumbuka enzi hizi za kufuata mtoto wa kike kisimani, mashine au bombani (mferejini kwa kule Zenji) ?? Bado zipo bhana..
Twakumbuka enzi hizi za kufuata mtoto wa kike kisimani, mashine au bombani (mferejini kwa kule Zenji) ?? Bado zipo bhana..
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,486 Apr 26, 2012 #2 hahahaaaa...!!!. ukikutana na watu unajifanya kuuchuna kama vile ulikuwa huongei.