Naona CCM ikielekea kugumu!! Naiona CCM ikijitengenezea mazingira magumu hapo baadae kwa kuwadharau na kuwabeza watu ambao walikua msaada kwao wakati ilipokua ktk hali mbaya sio siri hakuna asiejua CCM ilikua wapi kabla ya Nape na Kinana kuitwa kuokoa jahazi wakati huu hatujui kina Polepole walikua wapi kina Makonda walikua wapi wakati Nape na Makonda wakihaha kukinusuru chama.
Leo wanaonekana sii kitu na mkuu anadiriki hata kusema fomu alichukua mwenyewe nafkiri na uteuzi alijiteua yeye na kujitangaza alijitangaza yeye na kampeni alijipigia yeye mpaka kura alijipigia yeye na matokeo alijitangazia yeye hili sii jambo zuri kwa kiingozi akumbuke wapo waliopambana yeye kufika hapo asiwabeze tumemsikia Nape akieleza alilala porini miezi 28.
Sii michache anastahili kuheshimiwa anastahili kuvumiliwa kati ya Makonda na Nape nani anaweza kusimama mbele ya watu kuitetea CCM akaeleweka tunawakumbusha CCM 2020 sii mbali ya ANC na Malema yatawakuta mnawadharau vijana kwa sasa mkijiona miamba Nape ,Januari, Mwigulu na wengine wengi watawagarimu kwa kumkumbatia Makonda.
Mtakumbuka shuka kutakua kumekucha tayari na watu watakua vibarazani wakipiga mswaki na kunawa tongotongo Nape nakushauri rudi Mtama watu wako wanakupenda ila uliowahangaikia hawakujali kwa sasa wanakuona mpuuzi hukuomba uwaziri uliomba ubunge rudi jimboni kawatumikie wanamtama ukisubiri 2020!!