Auto rotate always ipo kwenye control centre. Kwenye Xiaomi inaitwa Lock orientation
Ukiwasha lock orientation maana yake simu yako haita auto rotate. Ukiizima maana yake simu yako ita auto-rotate yaani simply iko hivi
Kama unataka kuzima auto rotate maana yake unapaswa kuiwasha hiyo Lock orientation, then automatically tu hiyo auto rotate inazimwa
Swipe kutoka juu kulia then itatokea hii control centre. Angalia neno Lock orientation
View attachment 2660465
Kama unataka kuzima hiyo auto rotate then washa hiyo lock orientation. Tatizo linakuwa limekwisha
Kama usipoiona lock orientation kwenye control centre basi niambie nikuelekeze kwa kuipata.
But kama ukiiona nenda ukaiwashe hiyo lock orientation then ulete mrejesho