Xenophobic attacks in Lusaka spread

Bora wangenifuta uhamiaji kuliko polisi,tena poli wenu kila wakati wana bunduki utafikiri wanamfuata muhalifu,mimi siyo na sijawahi kuwa muhalifu.
Hali hiyo imenifanya kuwa mnyonge ninapokuwa na sababu ya kuja kwenu kenya,na ninajitahidi isiwepo kwakuwa najua nitaukosesh moyo wangu furaha tu.
 

Mk254,
Njoo Tanzania utembelee vijijini mikoa ya Morogoro, Iringa utaona ndugu zetu wengi Wa-Kenya waliolowea Tanzania wakijishughulisha na kilimo na wanazungumza kiswahil safi kama wewe MK254 na hakuna anayewabagua.

Ila media za Kenya na ''Wadau-feki'' wa mazingira, biashara, uchumi n.k punguzeni majungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…