Pia Kenya kuna kaugonjwa hako kama kupiga kampeni mbaya ya ''xenophobia ya kiuchumi'' dhini ya Tanzania kuwa barabara/ reli isikatize mbuga ya Serengeti lakini reli yenu ya Kenya mpya SGR inajengwa bila kuipigia kelele kuwa inakatikaza mbuga ya Tsavo na kuathiri wanyama-pori n.k
waafrika cjui lini tutajua kuwa cc ni wamoja
nani kakudanganya sisi waafrika ni wazelendo?!waafrika cjui lini tutajua kuwa cc ni wamoja
Hakuna chuki bali ni swali kuhusu mfano scenario mbili zinazofanana ya ujenzi wa reli / barabara kukatiza Mbuga ya Serengeti media za Kenya pamoja na "wanamazingira" wa Kenya wanapiga kelele sana ila ujenzi wa reli ya SGR pamoja na mpango wa barabara yenye njia sita kupita mbuga ya Tsavo wadau Kenya wapo kimyaaaa, sababu ni nini? Ni uchambuzi tu na kutaka kujua msimamo wa wadau wa Kenya.Hivi bagamoyo dhamira yako haipati tabu kwa kuendekeza chuki ukitumia uwongo kuhusu Serengeti. Fahamu mamia ya watu wanaosoma unachokisema hapa, wanaondoka kama umewajaza chuki, na matunda yake yanakua juu yako maana umetumia uwongo bila aibu wala kupepesa macho.
Hakuna chuki bali ni swali kuhusu mfano scenario mbili zinazofanana ya ujenzi wa reli / barabara kukatiza Mbuga ya Serengeti media za Kenya pamoja na "wanamazingira" wa Kenya wanapiga kelele sana ila ujenzi wa reli ya SGR pamoja na mpango wa barabara yenye njia sita kupita mbuga ya Tsavo wadau Kenya wapo kimyaaaa, sababu ni nini? Ni uchambuzi tu na kutaka kujua msimamo wa wadau wa Kenya.
he he heNi muhimu ufahamu kama nilivyosema, kuna watu mamia wanaopitia humu na kuusoma uwongo wako na kuamini kuwa kweli. Halafu hapo unakua umekuza chuki maana kule waendako, kwa njia moja au nyingine wanatangamana na watu kutoka taifa unaloelekeza hizo chuki kwa uwongo.
Hamna sehemu yoyote Kenya imehusika kwenye makelele yenu ya Serengeti, hao hao Serengeti watch wana ofisi huko Tanzania na ukienda kwenye tovuti yao, hutapata sehemu wameandika kwamba wanatumwa na Kenya. Halafu makao makuu yao yapo Marekani.
Anyway sibishani na wewe zaidi, tumezoea hizi chuki zenu zinazojengwa kwa misingi ya uwongo. Kwaheri kwa hili.
Ni muhimu ufahamu kama nilivyosema, kuna watu mamia wanaopitia humu na kuusoma uwongo wako na kuamini kuwa kweli. Halafu hapo unakua umekuza chuki maana kule waendako, kwa njia moja au nyingine wanatangamana na watu kutoka taifa unaloelekeza hizo chuki kwa uwongo.
Hamna sehemu yoyote Kenya imehusika kwenye makelele yenu ya Serengeti, hao hao Serengeti watch wana ofisi huko Tanzania na ukienda kwenye tovuti yao, hutapata sehemu wameandika kwamba wanatumwa na Kenya. Halafu makao makuu yao yapo Marekani.
Anyway sibishani na wewe zaidi, tumezoea hizi chuki zenu zinazojengwa kwa misingi ya uwongo. Kwaheri kwa hili.
Ila mikenya ukiwa kwao huna amani,askari wao ni wabaguzi n watesaji sana raia wa kigeni kutoka East Africa,Tanzania in particular.
Kila ukitembea ukiongea tu wanakufuata oooooh we ni Mtz eeeh ebu kuja,wakati hapa kwetu mtu yeyote anaishi na anaenjoy
we learn from the best(Kenya)Nakupa mtihani leo, naomba siku moja endesha gari lenye nambari za usajili za Kenya, kuanzia Namanga hadi Dar es Salaam, halafu kila ukisimamishwa na polisi, ongea nao kwa lafudhi ya Kikenya.
Nakuhakikishia utatamani ulitupe hilo gari huko mbugani halafu uabiri basi moja kwa moja. Kuna jamaa yangu alinyang'anywa hadi simu.
we learn from the best(Kenya)
mimi nimesumbuliwa sana huko kwenu,mpaka nikawa nahamahama maeneo ya kuishi,kuna wakati nilikuwa niko mombasa,nilikuwa naishi Kizingo karibu na international cassino la'terraza,kwa siku moja nilijiwa na askari makundi matatu,wanakuuliza maswaliiiiii unawajibu mwisho wanataka ela,bila sababu!
Nikahamia maeneo ya Nyali,ikawa hivyo tu,nikasogea mitaa ya Giriama beach kule balaa ni hilohilo.
ukienda club munazungumza mara mumefuatwa!...we mutu natoka wapi,kwanini hauko kwenyu!ni maisha ya kishenzi sana wageni kutoka Tanzania wanaishi Kenya
siyo kweli,wanavutiwa na kiswahili tu,wakishakujua mgeni unao!Labda ujiulize ikawaje polisi wavutiwe na wewe binafsi, maana hapa tunaishi na maelfu ya Watanzania ambao wanapiga mishe zao kila siku bila usumbufu wowote. Yaani ifike hadi polisi wanakuja kwako, lazima ulikua na shughuli za kushukiwa.
Mimi tangu utotoni kuna Watanzania tumeishi nao kitaa. Na sijaona kwa maisha yangu yote wakikumbana na shida ya polisi kuja kuwatafuta hadi manyumbani. Utakua pia nawe upo humu kueneza uwongo wa kutafuta chuki baina ya raia wa hizi nchi mbili kama mwenzio bagamoyo
Ninachojua kawaida polisi wakikuhoji barabarani baada ya kukusimamisha, hapo lazima watakulamba hela, na hilo huwatendekea wote hata Wakenya. Lakini kwa polisi kuja hadi kwako nyumbani, hilo utakua unatunga tu.
siyo kweli,wanavutiwa na kiswahili tu,wakishakujua mgeni unao!
Na wanaambiana na mimo nilikaa kwa kufuata taratibu ndo maana wakimaliza wakikuona ok waomba ela ukiwadundisha wenyewe kwa wenyewe wanaambiana waje kujaribu,hawaaminiani,waambieni wawe na ustaarabu.