Xenophobia: Trump atawaweka hatiani raia wa Marekani

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,072
Donald Trump hajui hatari anayowaingiza raia wake.
kama angalau angeelewa hizi chuki za kitaifa, rangi au kidini anazozijenga zinaweza kuwa na madhara kiasi gani kwa raia wake nadhani angesimama mara moja.
inapofika suala la kutekeleza ubaguzi, US bado watazingatia taratibu za kisheria na watalinda haki za binadamu hata kwa illegal immigrants watakaopatikana US.
Saa ikija waafrika na watu wa Asia hasa waarabu watakaposema hatutaki wazungu kwetu, hilo halitofanywa na serikali, hilo halitowakumba illegal immigrants bali all US citizens walioko abroad, wao hawatoondolewa kiheshima wananchi watawafanyia fujo!
Just imagine kilichotokea South Africa, ni kitu kibaya lkn hivi ndivyo tulivyo wengi wetu. masuala ya sheria mkononi ndio maisha yetu!
kama Trump angekuwa ana-account JF ingebidi tumwambie kabla ya kuendeleza zoezi lake, anusuru raia wake na kuwaomba wasiende nje ya nchi kama hawana shughuli maalum, lkn hata wale wenye kazi maalum wapunguze exposure ktk mitaa hasa maeneo ya uswahilini.
lakini balaa hili linaweza kuwafika wananchi wote wazungu sababu xenophobia huwa ina escalate kwa kila vulnerable creature aliye mbele ya mtu mbaguzi. so hata wazungu wengine from other countries wawe makini, as long as Trump anawatibua waislam na waafrica/latinos dunia imeshaanza kutokuwa sehemu salama kama ilivyokuwa awali.
 
Maharage ya Obama yanarukaruka bado tu ndio kwanza anawiki moja count 4 years ahead
 
Acha anyooshe nchi maana ilikuwa imepinda
Naogopa wengine wakifanya hivyo kwa wamarekani, najua hawatofata sheria.
kitu kibaya ni kuwa wengi miongoni mwa wamarekani wengi hawakubaliani na sera zake, sasa wanakuwa na hatia kwa shida ya mtu mmoja!
 
Back
Top Bottom