C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,201 Reaction score 6,268 Mar 15, 2013 #1 Wakuu habari! Nna xbox 360 inatatizo la hardware obviously mana ile ring inawaka rangi ya red... Sasa kama kuna mtu anajua how to fix it anambie ama kama kuna fundi lkn kwa instant service pia anijuilishe na cost ya ufundi!
Wakuu habari! Nna xbox 360 inatatizo la hardware obviously mana ile ring inawaka rangi ya red... Sasa kama kuna mtu anajua how to fix it anambie ama kama kuna fundi lkn kwa instant service pia anijuilishe na cost ya ufundi!