DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Halafu wanamuacha Baleke 😂😂😂😂Dhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao nimekuwa namtetea. Hayo tuyaache
Inawezekana.....
Pambana na Rivers 😂😂😂 mtarudi mmetota huyo alimfunga WydadMna ongea sana ila hadi chama ata rudi beki
Tabu ndiyo wataipata hapo ingawa sijaona kama Baleke ni mzuri sana kwenye kukimbia na mpira ingawa ni finisher mzuri sana. Phiri au hata Banda akianza badala ya Saido, Wydad watapata tabu sana pale mbele.Halafu wanamuqcha Baleke 😂😂😂😂
Kwani Kibu hatumii akili? Kibu anapambania sana mipira ya 50/50 na yuko vizuri sana katika hilo ila akiwa na mpira ni akili tu utaiona.Kama unafikiri waarabu wanacheza mpira Kwa kutumia ma guvu nenda kamuulize Onyango.
Waarabu utawatisha wakiona Brain Yako inafanya vizuri sambamba na mwili wako.
Simba timu nzima inakaba, una lingine?Mna ongea sana ila hadi chama ata rudi beki
Huyo galasa mliamua hadi kumteka mkilazimisha asajili kwenu.Hiyo kibu ni galada kama magalasa mengine,alieabahatisha Yanga kwa kuingia kwenye mfumo.
Kuna mwarabu kule Morocco Kibu alimzunguka hadi mtangazaji wa Supersport akapagawa. Zoba alale vzr leo maana kesho ana shughuli pevu.Kuna mtu anaitwa arsene zola...tutamuona huyo kibu atakapopitia
Kamati Maalum washasema "Simba anashinda 3 au 2 kwa kifupi kesho Simba anashinda"Haihitaji kuijadili casablanca, hawa ndugu zetu simba watapigwa nyingi sana ni bora wasalimu amri mapema
Home and away with Raja
3-0
3-1
=6
Mnafungwa na hakuna mchezaji WA waydad atakae hangaika na huyo mtuDhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao nimekuwa namtetea. Hayo tuyaache kidogo maana ni kibwagizo tu.
Katika mechi ya Raja vs Simba kule Morocco, Kibu alicheza gemu ya hali ya juu na Wydad walimuona live bila chenga. Baada ya hapo zimepita game kadhaa ikiwemo dhidi ya Ihefu na Yanga na huko kote amekiwasha akitoa maassist na kufunga pia. Huko kote Wydad wamemuona pengine tena live bila chenga.
Nina uhakika ataanza gemu ya kesho na Wydad watamuwekea target kwenye kichwa chake. Inabidi tahadhari zichukuliwe kwa sababu Kibu anacheza mpira wa nguvu na kuna wakati wa kugombea mipira huwa anakataa kabisa kushindwa na kupelekea kupata kadi. Napendekeza akipata kadi ya kwanza, akumbushwe kuongeza tahadhari au ikibidi afanyiwe sub ili kuepuka kadi nyekundu.
Tahadhari ni bora kuliko shari.
Inawezekana.....
Kamati Maalum washasema "Simba anashinda 3 au 2 kwa kifupi kesho Simba anashinda"
Zingatia wasemaji Ni Kamati Maalum
Sio Mimi.
takuwan wamepotea vizuri sana, watakapokazana kumlinda kibonde, na ndio utakuwa ushindi kwa simba.Dhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao nimekuwa namtetea. Hayo tuyaache kidogo maana ni kibwagizo tu.
Katika mechi ya Raja vs Simba kule Morocco, Kibu alicheza gemu ya hali ya juu na Wydad walimuona live bila chenga. Baada ya hapo zimepita game kadhaa ikiwemo dhidi ya Ihefu na Yanga na huko kote amekiwasha akitoa maassist na kufunga pia. Huko kote Wydad wamemuona pengine tena live bila chenga.
Nina uhakika ataanza gemu ya kesho na Wydad watamuwekea target kwenye kichwa chake. Inabidi tahadhari zichukuliwe kwa sababu Kibu anacheza mpira wa nguvu na kuna wakati wa kugombea mipira huwa anakataa kabisa kushindwa na kupelekea kupata kadi. Napendekeza akipata kadi ya kwanza, akumbushwe kuongeza tahadhari au ikibidi afanyiwe sub ili kuepuka kadi nyekundu.
Tahadhari ni bora kuliko shari.
Inawezekana.....
Hata awe mudi mtamjua Kibu DeKuna mtu anaitwa arsene zola...tutamuona huyo kibu atakapopitia
Kesho tutapata majibu ngoja tujiandae na Eid yakhe [emoji23][emoji23]Wydad ni mzuri zaidi ya Raja sio!! Au sivyo bin nun?