Umenikumbusha kuna shoga yangu alichoka kulipa kodi za nyumba maana zinapanda kila Mwaka akasema kabisa kwa kweli naolewa ili nipate wa kulipa kodi ! na akaolewa kweli sasa hapo sijui anaingia kundi gani labda Financial Statements