Twaha mora
Member
- Mar 25, 2019
- 12
- 5
Leo nimepigwa faini ya uonevu kabisa sh 61,800 ,kisa nimegesha Gari pembeni kabisa ya barabara ilinpokee mzigo alie niletea nikafungua mlango Na kushuka kumpokea ile napanda kwenye Gari nakutana Na chuma kwenye Tairi,nimetafuta kila aina ya usaidizi nimekosa ,anae elewa pakupatia haki yangu anijuze ,nimeenda kukopa hio hela ya kulipa natamani kurudishiwa jasho langu