Niende kwenye hoja husika , jaman hawa jamaa wa wrong parking wanasumbu sana hasa kwa hapa Arusha, sijui sheria inasemaje unakuta umepata emejenci unamsubir mtu aje muuondoke gafla wanatokea na kukupiga cheni tena dereva akiwa ndani ya gari..je hi ipo sawa sheria inasemaje. Pil niombe uongoz wa majiji yetu yaweke ishara ya No parking ya sehemu zisizo ruhusiwa ili kuondoa usumbufu kwa madereva hasa wale wageni hata kwa wenyeji pia.