Written interview sekretarieti ya ajira

Tmatimba

Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
66
Reaction score
10
Nimetoka kwenye intervie now kada Afisa Ugavi msaidizi,
I thank God kila kitu kimeenda kama nilivyokusudia, nasema Ahsante Yesu! Ijapo anahitajika m2 m1 kati ya wa2 131,
Niwape matumaini wale wote walofanikiwa kushiliki, tusonge mbele mpaka kieleweke
 
Asante Yesu? Wakati unaenda kufanya ugavi wa pombe? Tubu mara moja ili uweze kwenda Mbunguni, zidi kumwomba Mungu ukose hiyo nafasi!
 

Sio mchezo hiyo ngoma km uwanja wa taifa! someni ualimu jaman
 
Zaidi ya taifa. Vijana msio na kazi jipe moyo. "giza likiongezeka jua asubui inakaribia."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…