Huwa wanaukiza maswali yanayohusiana na hilo somo. Kwa mfano umeomba post ya tutorial assistant in economics then utaukizwa maswali ya economics pure. Km umeitwa na sekretarieti usihofu coz jamaa huwa wanachukua mtu aliyefanya vizuri hata kama no body knows you.