Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,319
- 2,027
Baada ya kuwa tumeimaliza tamthilia pendwa ya SULTAN Jana Azam TV wametambulisha tamthilia mpya ya wounded love ikiwa inausisha baadhi ya washiriki waliokuwa kwenye tamthilia ya Sultan.
Nasemaje hii kitu kwa episode yakwanza tu nimeisha predict itakuwa bonge moja la tamthilia Sultan chamtoto. Umo ndani nimemuona sultan mwenyewe pia parigali Ibraim pasha. Nasemaje nikuanzia jumatatu mpaka ijumaa saa nne kamili usiku kila wiki mpaka mwaka 2022.