Wote wawili wamejibu wana wapenzi, sijui niwashawishi vipi ili wanikubali?

Uliponea dawa gani? Uliipata wapi?? Vipi kile kidonda kwenye mkuyange kimepona????
.

Vyote vimepona,,nimeponea hoptal
Lkn jamn tusiwe tunafuatiliana hivi😁😁.
We nipe ushauri kuliko kurudisha historia ya mamb yaliyopita.
 
Write your reply...kuna techniques na njia alinifundishaga master wangu Lee min kaang alkuwa mmoja wa best physiologist pale hokuriku region katika mji mkubwa wa Kanazawa Japan nikikufindisha hii art of mind and lying techniques utakufa na ukimwi maana utadanganya watoto wa watu sana bora nkaushe.just be you
 
Au nikufate PM mkuu unieleweshe,,hayo ya kufa kwa ukimwi haipo
 
Back
Top Bottom