Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,134
Ila wosia wa mtu si unaheshimika jamani ? Basi naamin wosia wanGu utakua na tija...Omba tu atangulie yeye. Lakini ukitangulia ww, imekula kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah... Kuna kuolewa... halafu kuna kugongwa..... Msijichanganye [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huo wivu wako ni first classHata mimi nimejiapia siku nikifa na akaamua kuolewa,sitaongea/ kumsemesha tena katika maisha yake ya ndoa.Nina wivu sana kwa mke wangu
Dah... Kuna kuolewa... halafu kuna kugongwa..... Msijichanganye [emoji12] [emoji12]
Nimekuelewa mkuu, ila namaanisha vyote viwili,Dah... Kuna kuolewa... halafu kuna kugongwa..... Msijichanganye [emoji12] [emoji12]
Kweli kabisaa. Inabid niufanyie marekebisho aisee...Kuolewa anaweza asiolewa na akaendelea kucheza mechi za ugenini nyingi tu maana hapo atakuwa hajavunja wosia wa marehemu mume wake
Kama issue ni kuzuia papuchi isitumike milele revise wosia wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nime revise wosia wangu. Kiukwel sitaki aolewe wala awe na bwana. Yan kifupi asigongwe jaman,Jamaa hakukutaza mke wake kugongwa Bali amekataza mke wake kuolewa, hapo kugonga ni ruksa aiseeeee @
Huwa nawazia zule ladha alaf kirahisi mi nife jitu lichukue tu kindezi,Shemeji ana mauonooo msalimie
Si wanasema tukifufuliwa siku ya mwisho tutakutana na wake zetu.Acha wivu we si ushakufa waachie na wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nime revise wosia wangu. Kiukwel sitaki aolewe wala awe na bwana. Yan kifupi asigongwe jaman,
Wosia wangu uheshimiwe
Mbona hata sasa huyo mama anaolewa ?! Kwani mpaka ufe ?! Wewe muamini mkiwa naye otherwise muachie Mungu[emoji85] [emoji23] [emoji12]Kweli kabisaa. Inabid niufanyie marekebisho aisee...
Ila wosia wangu uheshimike jamani
Maiti haendagi mahakaman mkuu na haki za binadamu huwa ziko hai kumtetea kama kazidiwa na hisiaHello wana chit chat..!
Weekend iliyoisha ilikua nzuri sana kwangu, nilispend kuanzia ijumaa mpaka leo j3 bado nipo mapumziko btw kazini naingia kesho.
Katika spend hizo nilikua nipo na mke wangu kipenzi anayefanya ya kazi ya afya katika kijiji kimoja cha wilaya ya chalinze..
Kiukwel kwa mambo ya mke wangu naomba niandike wosia wangu.
Leo hii tarehe 13/02/2017
Mimi Multiphill90, nikiwa na akili zangu nimeandika wosia ufuatao.
Kwa vitu vya mke wangu kipenzi, kuanzia jikoni, kitandani, kimaendeleo kiukwel nathubutu kusema nikifa mke wangu asiolewe wala asitoe papuchi.
Nawazia vile viuno, ucheshi wake, huduma zake, duuh (alaf kirahis tu mke wangu aolewe/agongwe na jitu jingine...aaah wapi)
Hatua za maendeleo tulizopiga, jinsi alivyo mpambanaji , wallah siwez kukubali mke wangu aolewe/agongwe mie nikifa.
Kama ni mali nyie chukueni, kila kitu chukueni ila hata nikifa mke wangu asiolewe/asigongwe...
Wenu
Multiphill90
Aah mi hata iweje aisee, siwez kukubali mke wangu aolewe, ..Mbona hata sasa huyo mama anaolewa ?! Kwani mpaka ufe ?! Wewe muamini mkiwa naye otherwise muachie Mungu[emoji85] [emoji23] [emoji12]