Noor Senior Member Joined Feb 5, 2012 Posts 146 Reaction score 49 Nov 28, 2012 #1 Timu ya Sun'land ya Wingereza katika jezi waliyovaa usiku wa jana ilikua na maandishi yasemayo "Invest in Africa" je maneno hayo kweli ni ya kuhamasisha uwekezaji barani kwetu au ni kuhamasisha kuja nchi za kiafrika kukomba rasilimali zetu?
Timu ya Sun'land ya Wingereza katika jezi waliyovaa usiku wa jana ilikua na maandishi yasemayo "Invest in Africa" je maneno hayo kweli ni ya kuhamasisha uwekezaji barani kwetu au ni kuhamasisha kuja nchi za kiafrika kukomba rasilimali zetu?
Abunwasi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 5,486 Reaction score 3,483 Nov 28, 2012 #2 Kaa na mali zako lakini usilalamike na kuomba misaada