Airline companies have introduced much innovation in their facilities within the more aircraft, to separate themselves from competition, and keep their elite customers vouching for their services. After all, its now about celebrating and indulging in air traveling. This list features luxurious first-class and business-class seating to satisfy the most demanding travelers. So, take a look at our picks.
kuna watu washaipata mbingu yao hapa hapa dubiani, ngoja sie tusubirie yetu ya mbinguni. Sidhani kama Mwenyezi Mungu atatumia kipimo kimoja cha )hambi kati yangu na watu wenye maisha haya.
kuna watu washaipata mbingu yao hapa hapa dubiani, ngoja sie tusubirie yetu ya mbinguni. Sidhani kama Mwenyezi Mungu atatumia kipimo kimoja cha )hambi kati yangu na watu wenye maisha haya.
Mwazo yako tu mkuu. Hawa hata dhambi hawana maana maana wanafanya kazi ya kushukuu tu kwa meme waliyonayo. Pole kwa kuumia. tena hawa hata makanisa hawachomi bali wnajenga ingawa hawasali saaaaaana.
kuna watu washaipata mbingu yao hapa hapa dubiani, ngoja sie tusubirie yetu ya mbinguni. Sidhani kama Mwenyezi Mungu atatumia kipimo kimoja cha )hambi kati yangu na watu wenye maisha haya.
Toa pumba zako hapo, wabongo kila siku mnasinzia live bungeni halafu mnataka kuishi peponi..! Peponi wanaishi wateule kama hao tena wanaishi baada ya kutoil haswa..! Wewe Chenge, Lowasa endeleeni kuchumia tumbo