World's Most EXPENSIVE Bra.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250

The bra is a steal;

• 18 karat gold
• Ruby
• Diamond
• Yellow sapphire-encrusted
negligee also comes with a matching belt.
• And then there’s the 52 karat, pear-shaped ruby hanging down from the center of the bra.
 
hela zikikosa pa kwenda ni tatizo jamani.
 
hela zikikosa pa kwenda ni tatizo jamani.

Wakati wadada macho yao yatakuwa bize kucheki matirio ya hiyo bra...sisi vidume tutakuwa tunakong'ote hiyo chakula ya mtoto
 
Ndo maana wanataka wazipeleke kwenye hiyo kitu sasa tatizo langu linakuja pale watakao kuwa na uwezo wa kuinunua MIL 100 si watataka watu tuione ameivaa sasa sijui itakuaje.....!!!
 
Hii wasiione vichunda wetu...hukawii kuambiwa 'bebi nataka bra kama ile iliyowekwa Jeiefu Mafoto' :shocked:

Ha!ha!ha! Ilo nalo neno kweli kweli!!
 
hehehe kutegemezana ndo habari ya mjini they are looking for bras and men are looking for boobs,dahhhhh.
Wakati wadada macho yao yatakuwa bize kucheki matirio ya hiyo bra...sisi vidume tutakuwa tunakong'ote hiyo chakula ya mtoto
 

Nzuri,,,, nasubili mchina atengeneze sample nami nijipatir.
 
hehehe kutegemezana ndo habari ya mjini they are looking for bras and men are looking for boobs,dahhhhh.
ataye pata maumivu zaidi sijui ni yupi,maaana bras na boobs duuu kizunguzungu plus
 
FACTS. 1. A girl is said to be grown up when she
starts wearing a bra. A boy is grown up when he starts
removing it!! 2. We all love to spend lots of money
buying new clothes but we never realise
that some of the best moments in life are
enjoyed without clothes! 3. Having a cold drink on hot day with few
friends is nice, But having a hot friend on a
cold night after a few drinks - PRICELESS! 4. Breaking News: Condoms don't
guarantee safe sex anymore! A friend
of mine was wearing one when he was
shot dead by the woman's husband!!
 

I like it.......
 
hii inaitwa the ''disco bra''

na hii ni ''gas chamber bra'

''da scorpion bra''

''taa za gari bra''

''uwiii bra''

''hold me tight bra''

''nylon bra''

''utajiju bra''

''dont touch bra''

''dust bin bra''

''rain deer bra''

''mining bra''

AND FINALY
''DAWASCO BRA''


​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…