For real?Ni hii ni kwa mujibu wa nani?Vita kuu ya Dunia itakuja baadaye huko wakati mataifa yote makubwa ikiwemo USA yatakapoigeuka Israel na kutaka kuipiga, yaani dunia yote dhidi ya Israel. Hiyo ndiyo vita itakayopelekea 'mwisho' wa mambo yote.
Yesu arudi tu.
Haahaaahaaaa! Mkuu, mbona kama umeshituka sana?!For real?Ni hii ni kwa mujibu wa nani?
the sooner the better, let it happen!!!!! we have nothing to loose we of the said third world.